UANDISHI WA KADI ZA MIALIKO

 Kadi za mialiko zinaandikwa kwa watu mbalimbali kwenye shughuli mbalimbali. Shughuli hizo ni kama vile sherehe,vikao au changizo.                                                             VPENGELE VYA KUZINGATIA KATIKA                        KADI YA MIALIKO 

  1. Jina la mwalikaji
  2. Jina la mwalikwa 
  3. Lengo la mwaliko 
  4. Tarehe, siku na saa ya shughuli inayohusika.
  5. Mahala pa shughuli hiyo.
  6. Mawasiliano. 

   Kadi ya Mwaliko huwa ni karatasi ngumu ya rangi ambamo huandikwa kwa namna ya kuvutia na husheheni rangi na michoro ya kuvutia, kama vile maua na picha tofauti ya vitu.  

     Namna ya kuandaa kadi ya mialiko  

             




    Mfano wa kadi za mialiko:      

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

VERBS